20 Aug 2025 1:17 pm | Citizen TV 597 views Duration: 1:56 Shughuli za vikao vya mahakama zilitatizwa hapo jana katika mahakama ya Bomet baada ya watu wasiojulikana kuteketeza baadhi ya ofisi yenye stakabadhi muhimu katika korti hiyo usiku wa kuamkia jana..