Ofisi za chama cha UDA zachomwa Siaya

  • | K24 Video
    682 views

    Afisi za chama cha UDA mjini siaya zimeteketezwa leo wakati wa maandamano. Hilo linawadia wiki mbili tu baada ya afisi za chama hicho kuteketezwa mjini Kisumu.