Ogezeko la visa vya mauaji kaunti ya Kakamega

  • | West TV
    70 views
    Mbunge wa Lurambi Titus Khamala ametishia kutafuta usaidizi wa maafisa wa GSU kukomesha visa vya mauaji ya kiholela yanayoendelea mjini kakamega na kuwataka viongozi wenzake kutoka kaunti ya Kakamega kushirikiana naye katika vita dhidi ya wahalifu hao.