Skip to main content
Skip to main content

"Oman haina budi kufuta mkondo wa watu wengine, la sivyo tutawaangamiza"

  • | BBC Swahili
    15,389 views
    Duration: 2:33
    Rais wa Marekani Donald Trump alipinga wazo la Oman na Iran kuanza kutoza fedha au ushuru kwa meli zinazopita katika mfereji wa Hormuz, njia muhimu sana katika biashara ya mafuta duniani. Hatua hiyo imekuja baada ya kuripotiwa kuwa Oman na Iran walikuwa wakijadili mpango wa kutoza ushuru meli zinazopita kwenye Mlango bahari wa Hormuz. #bbcswahili #iran #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw