Skip to main content
Skip to main content

Omar asema alinukuliwa visivyo kuhusu matumizi ya alama za vidole za wafu uchaguzini

  • | KBC Video
    198 views
    Duration: 2:54
    Katibu mkuu wa chama cha UDA, Hassan Omar, sasa amesema kuwa matamshi yake yaliyozua utata kuhusu matumizi ya alama za vidole za wafu ili kupiga kura katika uchaguzi mkuu, yalikuwa mfano tu. Akifika mbele ya kamati ya kanuni na maadili ya uchaguzi ya tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC), Omar alisema kuwa matamshi hayo yalilenga kuwahimiza wakazi wa Pwani kujasjili kwa wingi kuwa wapiga kura. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive