Ongezeko la makundi ya wakulima wanaofuga kuku kutatua uhaba wa mayai katika kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    223 views

    Ongezeko la makundi ya wakulima wanaofuga kuku wa mayai katika kaunti ya Busia sasa linatarajiwa kutatua tatizo la uhaba wa mayai katika kaunti hiyo. wafanyibiashara wengi huagiza mayai kutoka nchi jirani ya Uganda. Wakulima 96 wa mradi wa Asiriam poultry park ulioko katika eneo bunge la Teso Kusini kaunti ya Busia wamezamia ufugaji wa kuku.