Ongezeko la viongozi wanawake kaunti ya Mombasa

  • | K24 Video
    100 views

    Bunge la kaunti ya Mombasa limeorodhesha ongezeko la viongozi wanawake waliochaguliwa kama wawakilishi wadi hatua ambayo imetajwa kuashiria kukumbatiwa kwa uongozi wa wanawake na mwanzo wa kuondoa taasubi ya kudhalilisha wanawake wanaojitokeza kutafuta uongozi mashinani.