Nchini Tanzania kumeshuhudiwa ongezeko la wakimbizi zaidi ya 8,000 tokea mwezi Machi mwaka huu wakiomba hifadhi kutoka DRC.
Wengi wa wakimbizi hao ambao ni wanawake na watoto wanatajwa kuondoka kutokana na vita vinavyoendelea Mashariki mwa DRC.
Shirika la wakimbizi duniani UNHCR linasema jitihada za makusudi zinahitajika ili kurekebisha hali ya mambo Mashariki mwa DRC.
Mwandishi wa BBC David Nkya ameandaa taarifa ifuatayo kutoka Kigoma Magharibi mwa Tanzania.
#bbcswahili #tanzania #kigoma
20 Aug 2025
- Speaking on Wednesday after a joint dialogue with the United Nations Development Programme (UNDP) on training and capacity building, IG Kanja emphasized that the National Police Service is fully in charge of security arrangements and expects “normalcy”…
20 Aug 2025
- Two people died on Wednesday while three others sustained serious injuries in a tragic road accident near Ting’ Wang’i junction along the Siaya-Bondo road in Siaya County.
20 Aug 2025
- Mobility platform Bolt has launched a first-of-its-kind dash cam in Kenya in collaboration with AI-based mobility tech firm Driver Technologies, giving drivers access to advanced safety technology at 75% off premium.
20 Aug 2025
- Teresia Chepkemoi Chepkwony, a revenue collector, technician, and marketing assistant with the water company, was charged with forging a KCSE certificate bearing a C plus mean grade from Boron Secondary School on or about September 18, 2017, and…