Onyo kwa wazazi kuhusu kusajili wana wao kwa mtihani wa KCPE badala ya kujiunga na gredi ya saba

  • | K24 Video
    58 views

    Serikali imewaonya wazazi waliomaliza gredi ya sita dhidi ya kuwasajili wana wao kwa mtihani wa KCPE wa darasa la nane badala ya kujiunga na gredi ya saba. Haya yalibainika wakati wa mkutano wa kutoa hundi za ufadhili wa elimu huko Garissa, huku onyo kali likitolea dhidi ya wanaoshiriki zoezi hilo. Hii hapa taarifa hiyo na zingine kutoka mashinani.