Onyo la wizara ya madini na uchumi wa baharini

  • | Citizen TV
    191 views

    Serikali kupitia wizara ya Uchimbaji Madini na uchumi wa baharini imetoa onyo Kali Kwa wale wanaendeleza biashara za kuchimba madini, kusitisha Shughli zao ili kuzuia ajali katika msimu huu wa Mvua.