Oparanya ametangaza mikakati maalum ya kufufua kilimo cha kahawa nchini

  • | Citizen TV
    185 views

    Waziri wa vyama vya ushirika na biashara ndogo Wycliffe Oparanya ametangaza mikakati maalum katika jitihada za kufufua kilimo cha kahawa nchini. Oparanya ameutetea mfumo wa malipo kwa wakulima, akisema wamefanya uchunguzi na kubaini kwamba asilimia 20 ya malipo hayo inatosha kushughulikia gharama za kuendesha vyama vya ushirika