Oparanya asema mfumo wa uchumi wa serikali unawafaidi Wakenya

  • | KBC Video
    32 views

    Waziri wa ustawishaji wa vyama vya ushirika Wycliffe Oparanya amesema mfumo wa uchumi wa kuinua watu wa mapato ya chini utaleta mabadiliko katika sekta mbali mbali za Kenya kuanzia kilimo hadi teknolojia.Akihutubia kikao cha kutafuta suluhisho kwa changamoto mbali mbali duniani cha mwaka 2025 mjini Berlin, ujerumani,Oparanya, ambaye alimwakilisha Rais William Ruto alikariri kujitolea kwa serikali kuinua biashara za vijana na wanawake.Mkutano huo wa siku mbili unajadilia masuala ya kifedha,athari za mabadilio ya hali ya anga na kuwapa vijana fursa za ajira.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive