Operesheni ya kungoa mifereji iliyounganishwa bila idhini ya idara husika ilisitishwa kwa muda

  • | K24 Video
    169 views

    Operesheni ya kungoa mifereji iliyounganishwa bila idhini ya idara husika ilisitishwa kwa muda eneo la Raila village ,Kibera ,baada ya kundi la vijana kuwarushia maafisa wa polisi mawe katika juhudi za kuizuia. Kulingana na katibu wa wizara ya maji kiprono rono, tangu kuanzishwa kwa operesheni hiyo, watu 42 wametiwa mbaroni.