Skip to main content
Skip to main content

Osotsi aondolewa katika wadhifa wa mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji wa Kaunti na Hazina Maalum

  • | NTV Video
    2,033 views
    Duration: 3:17
    Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi ameondolewa kama mwenyekiti wa Kamati ya Seneti kuhusu Uwekezaji wa Umma ya Kaunti na hazina Maalum, katika hatua inayoashiria mabadiliko makubwa ndani ya uongozi wa kamati za Seneti. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya