- 179 viewsDuration: 2:27Kila wanapokikimbiza mpira, pacha Catherine na Caro kutoka bungoma hubeba ndoto za kijiji cha maeni, mabegani. Wasichana hao wanacheza kandanda wakiamini kuwa vipaji vyao vinaweza kuwavusha mipaka ya kawaida. Kwao, soka si mchezo tu bali pia ni ari na matumaini mapya.