Padre Mario Cassar asaidia watoto wa Watamu kukata kiu ya elimu

  • | K24 Video
    77 views

    Ndoto ya elimu ya watoto kutoka familia zisizojiweza katika eneo la Watamu kaunti ya Kilifi imewekwa hai na uhisani wa Padre mmoja, raia wa Malta, Mario Cassar. uhisani wake hasa mpango wake wa uji shuleni umefanya watoto wengi wasikose kuenda kusoma.