Pandashuka za mtaala wa CBC

  • | Citizen TV
    1,634 views

    Mtaala wa elimu ya CBC uliashiria mageuzi ya mfumo wa elimu nchini, kutoka mfumo wa 8-4-4. Hata hivyo, ni mageuzi yaliyokumbwa na mawimbi kati ya serikali, waalimu na hata wazazi. Mwana huu umekuwa wa 6 tangu kuanzishwa kwa mtaala huu wa CBC lakini bado mwanga uliotarajiwa unaashiria giza kwenye utekelezwaji wake. Serfine Achieng’ Ouma anaangazia pandashuka za CBC mwaka huu