Skip to main content
Skip to main content

Pande mbili za ODM zashutumiana kwa usaliti

  • | KBC Video
    159 views
    Duration: 2:25
    Mzozo wa kisiasa unatokota katika uongozi wa chama cha ODM huku pande mbili katika chama hicho zikirushiana lawama. Kundi moja linaloongozwa na naibu kiongozi wa kitaifa wa chama hicho Godfrey Otsotsi linalishtumu kundi linaloongozwa na Mbunge wa Suna Mashariki Junet Mohammed kwa kuuza chama hicho cha ODM serikali tawala kupitia mpango wa serikali jumuishi. Katika kujibu madai hayo Junet amemshutumu Seneta huyo wa Vihiga kwa kujaribu kuuza chama hicho kwa Rais wa zamani Uhuru Kenyatta. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive