"Panya buku mwenye uwezo wa kunusa na kumbukumbu nzuri"
Mfahamu Panya Kennedy aliye na uwezo wa kuokoa binadamu na wanyama wanapokumbwa na majanga ya maporomoko, majengo kubomoka na majanga mengine ya asili yanayowafanya watu kukwama sehemu mbalimbali.
Panya Kennedy anapewa mafunzo kupitia shirika la Ubelgiji la kutoa misaada la APOPO katika Chuo kikuu cha Sokoine kilichopo Mkoa wa Morogoro nchini Tanzania.
Mwandishi wa BBC @frankmavura ametembelea kituo cha APOPO @herorats mjini Morogoro na kuandaa taarifa hii.
#bbcswahili #tanzania #wanyama
20 Aug 2025
- Govt in plans to distribute new vehicles by November.
20 Aug 2025
- Ruto's sentiments elicited heated debate among leaders.
20 Aug 2025
- The changes impact payment of deductions.
21 Aug 2025
- India's government introduced a bill on Wednesday to remove top politicians if they are arrested and detained for 30 days, which opponents called a "chilling" bid to crush constitutional safeguards.
21 Aug 2025
- MSMEs urged to embrace AI for enhanced customer experience
21 Aug 2025
- How courts have tamed Ruto's appetite for illegal task forces
21 Aug 2025
- Ruto on diplomatic tightrope as Japan, China vie for favour
21 Aug 2025
- Uncertainty over university fees as CS keeps costs under wraps
21 Aug 2025
- Cost of homes up as UN offices move to Nairobi
21 Aug 2025
- Former deputy president's plans to popularise 'wantam' campaign
21 Aug 2025
- Big blow to President after court blocks his anti-corruption team
21 Aug 2025
- Job loss fears as high taxes, weak demand push firms to the brink
21 Aug 2025
- Court told of missing gun in Rashid's trial