Papa Francis ataka vita kusitishwa mashariki ya kati

  • | VOA Swahili
    159 views
    Papa Francis amekutana na wajumbe kutoka Israel na Palestina katika Jiji la Vatican na kuomba kukomeshwa kwa kile alichokiita si vita tena bali "ugaidi". Francis amezungumzia juu ya mateso ya Waisraeli na Wapalestina kabla ya kutangazwa kwa makubaliano ya muda kati ya Israel na Hamas ya kuachiliwa mateka na kusimamishwa kwa muda kwa mapigano.