Papa Francis awahimiza wakristu kuwa na matumaini

  • | Citizen TV
    649 views

    Huku Wakristo ulimwenguni wakiendelea kuadhimisha sherehe za ijuma kuu, kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis alijiunga nao kwenye ukumbusho wa kuteswa na kufariki kwa Yesu kristu.