Papa Francis Azuru DRC

  • | VOA Swahili
    1,429 views
    Mubashara – Papa Francis amewasili mji mkuu wa Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambako anafanya ziara ya kwanza ya kiuchungaji katika taifa hilo la Afrika ya Kati baada ya miaka 37. Katika kipindi cha siku tatu, papa atakutana na Rais Felix Tshisekedi, maafisa, wanadiplomasia na wawakilishi wa jumuiya za kiraia.