Papa Francis Azuru Sudan Kusini

  • | VOA Swahili
    601 views
    Mubashara – Papa Francis akutana na watu waliolazimika kukimbia makazi yao ndani ya nchi katika ukumbi wa Freedom Hall huko Juba, Sudan Kusini. Francis aliwasili Sudan Kusini siku ya Ijumaa na anatarajiwa kuendelea na ziara yake ya kwanza ya kuunganisha Wakristo katika taifa hilo hadi Jumapili.