Papa Leo wa X1V amebuni Dayosi mpya ya Kapsabet

  • | Citizen TV
    240 views

    Vifijo na nderemo zilishuhudiwa katika kanisa katoliki ya st. Peter's mjini Kapsabet kaunti ya Nandi baada ya Papa Leo wa 14 kutangaza kubuniwa kwa dayosisi mpya ya Kapsabet .