Passaris aomba wakenya kuunga mkono serikali

  • | KBC Video
    102 views

    Ilikuwa ni furaha Kwa kina mama katika eneo la shauri Moyo, Kaunti ya Nairobi baada ya mwakilishi wanawake kaunti ya Nairobi Esther Passaris kuzuru eneo hilo na kutoa msaada wa chakula kwa kina mama hao wanaoishi kwenye mtaa ya mabanda.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive