Pastor Dorcas Rigathi: Endesheni magari kwa utaratibu ili kuhepuka ajali

  • | KBC Video
    78 views

    Mkewe naibu rais Pastor Dorcas Rigathi ametahadharisha madereva dhidi ya kuendesha magari kiholela akisema hatua hiyo huhatarisha maisha ya watumaji barabara wengine na wakenya kwa jumla. Akiongea wakati wa ibada ya kutoa shukrani ya dini mbalimbali katika chuo kikuu cha Kenyatta, Pastor Dorcas alisema kwamba taifa hili limepoteza maisha ya wakenya wengi kupitia ajali za barabarani mwaka huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News