Patric Osoi afikishwa mahakamani kwa kuunda kundi dhidi ya dhuluma za Polisi

  • | Citizen TV
    1,121 views

    ISA WA ZAMANI WA JESHI PATRICK OSOI ALIYEKAMATWA HAPO JANA KWA KUANZISHA KUNDI LA WALIOKUWA MAAFISA WA USALAMA KUKABILIANA NA DHULUMA ZINAZOTEKELEZWA NA MAAFISA WA USALAMA AMEFIKISHWA MAHAKAMANI HII LEO