Patrick Mwitu Arandu aanza kazi kama kamishna mpya wa gereza

  • | Citizen TV
    935 views

    Kamishna Mpya Wa Magereza Patrick Mwitu Arandu ,Amesema Kuwa Lengo Lake Kuu Katika Utawala Wake Litakuwa Kupunguza Msongamano Wa Wafungwa Magerezani Kwa Ushirikiano Na Mahakama Na Kuhakikisha Kuwa Wafungwa Na Maafisa Wa Magereza Wana Afya Nzuri Ya Kiakili.