Pendekezo la NACADA la kuongeza umri wa kuanza kunywa pombe laungwa mkono

  • | KBC Video
    4 views

    Kundi la viongozi wa kidini limeunga mkono pendekezo la halmashauri ya kudhibiti pombe na mihadarati, NACADA la kuongeza umri wa kuanza kunywa pombe kutoka miaka 18 hadi miaka 21. Viongozi hao kutoka kaunti za Nairobi na Kiambu pia wametoa wito wa utekelezaji kikamilifu wa sheria zinazolengwa kuzuia uuzaji wa pombe kwa watoto humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive