Pendekezo la 'one man, one shilling' lapingwa Narok

  • | Citizen TV
    390 views

    Mapendekeezo ya mgao wa raslimali kulingana na wingi wa watu maarufu 'one man one shilling' umepingwa vikali na viongozi wa jamii ya Maa kaunti ya narok.