Pesa za fomu ya p3

  • | Citizen TV
    87 views

    Viongozi sasa wanataka maafisa wa serikali ambao wanawatoza wananchi waliodhulumiwa fedha kabla ya kutoa fomu za P3 kutiwa nguvuni