Peter Kinyanjui anazuiliwa kituo cha Ruiru

  • | Citizen TV
    1,738 views

    Haya yalipokuwa yakijiri mahakamani, afisa mmoja wa chama cha DCP Peter Kinyanjui aliyekuwa amedaiwa kutekwa nyara ataendelea kuzuiliwa katika kituo cha Ruiku kaunti ya Kiambu