18 Mar 2026 8:02 pm | Citizen TV 613 views Duration: 52s Peter Njuguna ambaye ni mshukiwa mkuu kwenye mauaji ya mtoto Shantel Waruguru mwezi jana huko Rititi, Mathira kaunti ya Nyeri, atajibu mashtaka ya mauaji ya mtoto huyo mwezi mei, mwaka huu.