Philip Kigen na Mercy Kwambai waibuka washindi katika mashindano ya riadha ya Lewa Safari Marathon

  • | K24 Video
    34 views

    Philip Kigen na Mercy Kwambai ndio mabingwa wa makala ya ishirini na nne ya mashindano ya riadha ya lewa safari marathon ambayo yalifanyika leo katika mbuga ya lewa