Phillip Aroko aachiliowa kwa dhamana ya shilingi 300,000

  • | Citizen TV
    664 views

    Mahakama ya JKIA imemwachilia mwanasiasa Phillip Aroko kwa dhamana ya shilingi laki tatu . Aroko anahusishwa na mauaji ya mbunge wa kasipul charles Ong'ondo Were. mahakama imewagiza Aroko kutosafiri kwenda Homa bay wala kuwasiliana na familia ya Were au washukiwa wengine kwenye kesi hiyo. kesi hiyo itatajwa tena tarehe 3 mwezi ujao.