Philomena Mwilu asifia utumizi wa teknolojia

  • | KBC Video
    Kaimu jaji mkuu, Philomena Mwilu amesifia utumizi wa teknolojia katika idara ya mahakama akisema imewezesha kupunguza mrundiko wa kesi mahakamani. Mwilu amesema idara ya mahakama imetatua asilimia-88 ya kesi zilizokuwa zimerundikana mahakamani kwa kipindi cha miaka mitano. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive