Picha za CCTV zafichua mshukiwa wa mauaji ya Kikatili yaliyotokea kwenye Airbnb, Kasarani Nrb.

  • | K24 Video
    6,936 views

    K24tv imepata picha za CCTV za tukio la mauaji ya mtaani Kasarani hapa jijini Nairobi ambapo msichana aliuawa kinyama kwa kukatwa katwa.