Picha za watu waliozuiliwa baada ya kuvamiwa kwa Hospitali ya Nasser

  • | BBC Swahili
    1,266 views
    BBC imethibitisha picha zilizopigwa kwa siri zinazoonyesha watu wakizuiliwa baada ya Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) kuvamia Hospitali ya Nasser huko Gaza. IDF inasema "ilifanya kazi ndani ya Hospitali ya Nassar kwa njia sahihi na umakini, na kusababisha uharibifu mdogo kwa shughuli iliyoendelea hospitali hapo na bila kuwadhuru wagonjwa au wafanyikazi wa matibabu". #bbcswahili #gaza #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw