Polepole ajitenga na serikali ya Tanzania

  • | BBC Swahili
    5,825 views
    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Pole Pole amesema kuwa anapinga masuala ya utekaji na kuwa dada yake ametekwa na kuumizwa. Balozi huyo alijiuzulu siku ya Jumapili akidai hawezi kuwa sehemu ya serikali isiyojali misingi ya haki, sheria na katiba ya nchi.