- 378 viewsDuration: 40sTimu ya police bullets ya kenya imeanza vyema kwenye mashindano ya kufuzu kwa kombe la klabu bingwa barani baada ya kuipiku kampala queens kwa bao 1-0 katika uwanja wa nyayo alasiri ya leo. Bao la pekee lilitiwa kimyani na mchezaji wa akiba emily moranga katika kipindi cha pili.