- 1,327 viewsDuration: 3:16Maafisa 215 wa polisi walioondoka nchini kuelekea Haiti kwa ujumbe wa kimataifa wa kurejesha usalama nchini humo wamerejea kenya baada ya kukamilisha kazi yao. Wakiandamana na inspekta Jenerali Douglas Kanja aliyesafiri Haiti kukutana na viongozi wa taifa hilo, kikosi hiki ni cha pili kurejea. Maafisa zaidi wanatarajiwa kuwasili nchini jumatatu ijayo.