Polisi aliyemuokoa mwanamke aliyetuhumiwa kukufuru azungumza

  • | BBC Swahili
    959 views
    Tazama namna mwanamke wa Pakistani aliyevalia mavazi yenye maandishi ya Kiarabu alivyookolewa kutoka kwa kundi la watu wanaodai kukufuru, baada ya kudhani ni neno kutoka katika aya za Quran. Nguo hiyo ilikuwa na neno "Halwa" lililochapishwa kwa herufi za Kiarabu. Kukufuru kunaadhibiwa kwa kifo nchini Pakistan. #bbcswahili #pakistan #quran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw