Polisi amtoa mamba kwenye bwawa la kuogelea kwa mikono

  • | BBC Swahili
    3,999 views
    Tazama Polisi wa Florida amtoa mamba kwenye bwawa la kuogelea kwa mikono Mamba huyu alitolewa kutoka kwenye bwawa la kuogelea na afisa wa polisi katika mji wa St Augustine, Florida, Marekani. Video kutoka kwenye kamera ya kuvaliwa mwilini inaonesha afisa huyo wa polisi akimdhibiti mamba huyo mwenye hasira kali kwa kutumia mikono yake tu hadi kando ya bwawa. Wakazi wa eneo hilo walishangazwa na ujasiri afisa huyo. #bbcswahili #marekani #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw