Polisi amuua mkubwa wake huko Ng’iya

  • | KBC Video
    140 views

    Polisi katika eneo la Ng’iya kaunti ya Siaya wanafanya uchunguzi wa tukio ambapo konstebo wa polisi anayehudumu katika kituo cha polisi cha Ng’iya alimuua kwa kumpiga risasi mkubwa wake leo asubuhi. Kamanda mkuu wa polisi wa kaunti ndogo ya Gem Yala Charles Wafula amesema Martin Mwendwa alimpiga risasi mkubwa wake kifuani na mikononi na kumuua papo hapo kutokana na kutoelewana baina yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive