Polisi Baringo wamkamata mshukiwa wa ujangili

  • | Citizen TV
    2,479 views

    Polisi katika Kaunti ya Baringo wamemkamata Lonyangapat Amerinyang', jambazi anayeshukiwa kuwa hatari, katika eneo la Kapedo Akoret, Tiaty na bunduki mbili mikononi mwake.