Polisi Diani waraiwa kuwakamata waliovamia hoteli ya Pinewood

  • | Citizen TV
    559 views

    Polisi mjini Diani kaunti ya Kwale waraiwa kuwakamata na kuwafungulia mashtaka washukiwa waliovamiwa na kuwajeruhi wafanyikazi na watalii na kuharibu mali katika hoteli ya Pinewood eneo hilo.