Polisi, EACC wapekua nyumba ya Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya

  • | Citizen TV
    4,376 views

    Maafisa wa polisi waliokuwa hawajavalia sare rasmi na ambao walikuwa wamevaa barakoa wamepekua nyumba ya Gavana George Natembeya, katika mtaa wa Milimani, huko Kitale, kaunti ya Trans Nzoia.