Polisi eneo la Kiminini kaunti ya Trans nzoia wamenasa bunduki tatu zilizoibiwa

  • | K24 Video
    41 views

    Polisi eneo la Kiminini kaunti ya Trans nzoia wamenasa bunduki tatu zilizoibiwa kutoka kituo cha polisi cha Sikhendu siku 12 zilizopita. Wakaazi wametakiwa washirikiana na polisi kukabiliana na uhalifu eneo hilo