Polisi Hiram Kimanthi amekamatwa Meru baada ya kupinga agizo la “piga risasi ua.”

  • | NTV Video
    5,167 views

    Afisa wa polisi ambaye alipinga hadharani agizo la serikali la "piga risasi ua" amekamatwa katika mvutano mkali nyumbani kwake kaunti ya Meru. Kukamatwa kwa Hiram Kimanthi, ambaye ni mmoja wa kundi la vuguvugu lenye utata la "Fighting Brutality And Impunity," kunajiri siku chache tu baada ya wanachama wengine wawili wa kundi hilo kukamatwa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya