Polisi huko Bureti kaunti ya Kericho wanamsaka baba muuaji

  • | Citizen TV
    264 views

    Mwanamume wa miaka thelatini na saba anaendelea kusakwa na maafisa wa ujasusi kutoka kitengo cha gsu katika kijiji cha Kipkosil sehemu ya bureti kaunti ya Kericho baada ya kuripotiwa kumuua mwanawe wa miaka mitatu kwa kumgonga kwa kifaa butu kichwani .